Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Taarifa kuhusu ajali ya moto ulioteketeza shule ya msingi.

$
0
0

Moto mkubwa umeteketeza majengo ya Shule ya msingi Filbert Bayi na kisha kusambaa na kuteketeza mabweni yote ya Wanafunzi pamoja na madarasa. Mwenyekiti wa shule hiyo Filbert Bayi amesema moto huo ulianza saa nane usiku katika bweni la wanafunzi wa kike na kisha kusambaa shule nzima kutokana na gari za zimamoto kuchelewa kufika mapema. Hakuna...

The post Taarifa kuhusu ajali ya moto ulioteketeza shule ya msingi. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles