Imekuwa kawaida watu wengi kulalamikia vitendo vya wizi wa vifaa mbalimbali katika magari eneo la bandari ya Dar es Salaam hali iliyopelekea leo Serikali kutoa tamko rasmi juu ya mkakati unaoandaliwa ili kukomesha wizi huo. Akizungumzia mkakati huo Naibu Waziri wa Uchukuzi Dkt. Charles John Tizeba amesema;- “..Wizi huu umepungua kwa kiasi kikubwa sana na...
The post Malalamiko ya wizi wa vifaa vya magari bandarini, Serikali imetoa tamko. appeared first on TZA_MillardAyo.