Mahakama imetoa hukumu kwa Nahodha na jumla ya wenzake kumi na nne kwa kupatikana na hatia ya uzembe uliopelekea meli kuzama na kuua watu 300. Nahodha Lee Joon-seok amehukumiwa kifungo cha miaka 36 kwa kosa hilo, Park ambaye alikuwa injinia wa meli hiyo amehukumiwa miaka 30, na wenzao kumi na watatu wamehukumiwa miaka 20 kila...
The post Mahakama yatoa hukumu kwa Nahodha wa Meli iliyozama na kuua watu 300. appeared first on TZA_MillardAyo.