Good news iliyonifikia usiku wa kuamkia leo ni kwamba Mtangazaji Penny Mungila aka VJ Penny na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu wamemaliza tofauti zao baada ya kutoelewana huku chanzo kikitajwa kuwa Penzi kuwa mapenzini na Diamond Platnumz. Upatanisho huo umefanywa na Junaitha ambaye aliandaa chakula cha usiku kwenye hoteli ya kifahari Dar es Salaam...
The post Wema na Penny wamemaliza tofauti zao na kupiga hizi picha pamoja appeared first on TZA_MillardAyo.