Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri hamsini kutoka Afrika list ambayo inaongozwa na tajiri wa Nigeria ambae ni Mfanya biashara maarufu na Rais wa kampuni ya Dangote Aliko Dangote, aliyekuwa akishikilia nafasi ya arobaini na tatu na kupanda nafasi ishirini. Forbes imetoa taarifa hiyo na kusema Dangote pia anashikiliana nafasi ya hamsini na...
The post Bilionea Dangote azidi kung’ara. appeared first on TZA_MillardAyo.