Sikiliza You heard ya leo inayomhusu Roma Mkatoliki.
Wimbo wa KKK wa Roma Mkatoliki ni miongoni mwa nyimbo za Hip hop zinazoonekana zina maneno makali ambayo yamefunikwa,Soud Brown ana-amplify taarifa hizi. Sikiliza Clouds Fm kupitia 88.1 ukiwa Mwanza....
View ArticleKuhusu wachimba kokoto waliofukiwa na kifusi Dar mchana wa April 04.
Inasemekana watu watatu waliotambuliwa kwa majina ya Msagala,Jacob na Mhando ambao ni wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam wamefariki dunia mchana wa April 04 baada ya kufukiwa na kifusi wakati...
View ArticleKama hukuwa unamfahamu,huyu ndiye Mkude Simba sasa.
Inawezekana ushakutana na vichekesho ambavyo vimesambaa kwenye mitandao mbalimbali hasa Whatsapp ambavyo kuna jamaa anajiita Mkude Simba,ushawahi kujiuliza ni nani yule Mkude Simba,millardayo.com...
View ArticleEnjoy kuangalia video mpya kutoka kwa @AyTanzania – Asante
A.Y kwa mara nyingine amewapa mashabiki wake zawadi ya video nzuri ya wimbo wa Asante aliomshirikisha Dela. Video hii imerekodiwa Kenya na unaweza kuwa kati ya watu wa kwanza kuigalia hapa. Use...
View ArticleHatimaye Rich Mavoko atoa video ya Roho yangu.
Rich Mavoko alianza kutoa vipande vya video hii muda mrefu sana kwenye account yake ya instagram lakini baada ya muda wote huo hatimaye ameitoa video nzima. Story kubwa ya hii video ilikua ni Rich...
View ArticleTangazo kutoka kwa Mr Blue kwenda kwa wasichana wote.
Mr Blue ambaye hivi sasa headline zake zinatokana na wimbo wa Pesa ambao hadi umempa nomination kwenye tuzo za kili mwaka huu. Mr Blue ametoa tangazo hili kupitia ukurasa wake wa instagram kwenda kwa...
View ArticlePichaz za michango iliyotolewa na Diva Giving For Charity.
Kituo cha Watoto Yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo leo April 05 wamepata michango mbalimbali toka kwa project yake ya Diva Giving For Charity ambayo inasimamiwa na Diva wa Ala za Roho...
View ArticleAlichopost Shakira Facebook kuhusu Pique kumkataza kufanya video na wanaume
Wiki chache zilizopita mwanamuziki Shakira alikaririwa akisema kwamba mchumba wake ambaye ni mwanasoka wa klabu ya FC Barcelona Gerard Pique amemkataza kuendelea kufanya video na models wa kiume. Kauli...
View ArticleKutana na jamaa ambaye hataki chakula lakini anakula vipande vya matofali...
Mama yake huwa anamuandalia kuku kama chakula cha siku lakini anakataa na kutaka apewe vipande vya matofali. Kwa siku moja anakula vipande kadhaa vya matofali ambapo kwa makadirio huwa anakula kilo 3...
View ArticleRipoti na matokeo ya mechi za Simba vs Kagera – Mbeya City vs Ashanti
MATOKEO ya 0-0 waliyoyapata Mbeya City leo hii kwenye mchezo mgumu wa ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Ashanti United katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam...
View ArticleWatoto wa mitaani wa Tanzania wafanya maajabu kombe la dunia Brazil
Tanzania yatinga Fainali ga Kombe la Dunia kwa Watoto wa Mitaani Kwa mara ya pili mfululizo timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani kutoka Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto...
View ArticleEmmanuel Okwi azungumza kuhusu taarifa za kuondoka Yanga, hiki ndicho alichosema
Siku kadhaa baada ya kutoka taarifa kwamba mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda anayekipiga klabu bingwa ya Tanzania bara Yanga, Emmanuel Okwi amegoma kuendelea kuichezea timu hiyo kutokana na kuidai...
View ArticleYanga wadai mchezaji huyu sio raia wa Tanzania, waitaka TFF iikate pointi...
Ikiwa imepita takribani wiki moja ipite tangu klabu ya Yanga ipoteze mchezo wake dhidi ya Mgambo JKT ya Tanga, leo hii klabu hiyo imewasilisha pingamizi zito dhidi ya mchezaji wa Mgambo na kupinga...
View ArticleMatokeo ya Man UTD vs Newcastle – Chelsea vs Stoke City haya hapa
Vilabu vya Manchster United na Chelsea leo vimepata ushindi mnono katika mfululizo wa ligi kuu ya Uingereza. Manchester United ikicheza ugenini katika dimba la St. James Park dhidi ya wenyeji Newcastle...
View ArticleMatokeo ya FC Barcelona vs Real Betis kwenye La Liga haya hapa
FC Barcelona leo imeendeleza wimbi la ushindi katika La Liga baada ya kuifunga Real Betis mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa katika la Camp Nou, Barcelona Spain. Magoli ya Barcelona yalifungwa na Lionel...
View ArticleMagazetini leo Jumapili 06 April 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Magazetini leo Jumapili 06...
View ArticleManeno ya Albert Msando juu ya Bunge la Katiba.
Wakili wa Kujitegemea ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mabogini wilaya ya Moshi vijijini Albert Msando ametoa yamoyoni kwa kile kinachoendelea kupitia Bunge la Katiba kwenye Exclusive interview na...
View ArticleHatimae timu ya watoto wa mtaani Mwanza yashinda kuingia fainali Brazil.
Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imefanikiwa kuingia fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuifunga Marekani goli 6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu...
View ArticleMatokeo ya awali jimbo la Chalinze.
Haya ni Matokeo ya awali kwa baadhi ya vituo kutoka jimbo la Chalinze ambayo matokeo yao yanaonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo hilo kupitia wa CCM Ridhiwani Kikwete anaongoza kwa sasa. Kazi ya kuhesabu...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo April 07 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Kurasa za mwanzo na mwisho...
View Article