Ikiwa imepita takribani wiki moja ipite tangu klabu ya Yanga ipoteze mchezo wake dhidi ya Mgambo JKT ya Tanga, leo hii klabu hiyo imewasilisha pingamizi zito dhidi ya mchezaji wa Mgambo na kupinga ushindi wa timu hiyo ya Tanga. Klabu ya Yanga imewasilisha malalamiko Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuwa mshambuliaji wa Mgambo...
The post Yanga wadai mchezaji huyu sio raia wa Tanzania, waitaka TFF iikate pointi timu yake appeared first on TZA.