Siku kadhaa baada ya kutoka taarifa kwamba mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda anayekipiga klabu bingwa ya Tanzania bara Yanga, Emmanuel Okwi amegoma kuendelea kuichezea timu hiyo kutokana na kuidai timu hiyo, hatimaye leo hii kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook Okwi amevunja ukimya na kuzungumzia suala hilo. Hiki ndicho alichoandika leo Kwa mujibu...
The post Emmanuel Okwi azungumza kuhusu taarifa za kuondoka Yanga, hiki ndicho alichosema appeared first on TZA.