Tanzania yatinga Fainali ga Kombe la Dunia kwa Watoto wa Mitaani Kwa mara ya pili mfululizo timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani kutoka Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuchachafya timu ngumu ya Marekani magoli 6 kwa 1, kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali...
The post Watoto wa mitaani wa Tanzania wafanya maajabu kombe la dunia Brazil appeared first on TZA.