MATOKEO ya 0-0 waliyoyapata Mbeya City leo hii kwenye mchezo mgumu wa ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Ashanti United katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam yamewagharimu na kuwakosha rasmi ubingwa msimu huu. Ashanti United waliokuwa na lengo la kupata ushindi leo hii mbele ya Mbeya...
The post Ripoti na matokeo ya mechi za Simba vs Kagera – Mbeya City vs Ashanti appeared first on TZA.