Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni April 07.
Zitumie dakika hizi 16 kusikiliza kilichiandikwa kwenye kurasa mbalimbali za Magazeti ya leo April 07 kupitia Power Breakfast na leo Magazeti haya yanasomwa na kuchambuliwa na Mbwiga wa Mbwiguke na...
View ArticleMatokeo kamili ya uchaguzi Jimbo la Chalinze haya hapa.
April 06 ndiyo ilikua siku pekee kwa Wananchi wa Chalinze kupiga kura ya kumchagua Mbunge wao kwenye uchaguzi mdogo wa nJimbo la Chalinze,matokeo yake yametangazwa usiku wa kuamkia April 07 na...
View ArticleTimu ya Watoto wa Mitaani yatwaa Ubingwa wa Dunia.
Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania jana April 06 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Dunia wa Watoto wa Mitaani baada kuifunga Burundi mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa jijini Rio de...
View ArticleHii ni post ya Lulu kwenye instagram kuhusu Kanumba
Leo imefika miaka miwili tangu marehemu Steven Kanumba afariki dunia. Watu wengi maarufu wametumia siku ya leo kumkumbuka the great. Hii ni post ya muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhusu Steven...
View ArticleHivi ndivyo Diamond alivyowa-sapraiz Mashabiki wake kwenye uzinduzi wa video...
Ukubwa wa jina la Diamond ndiyo hufanya mahali popote Tanzania anapotokea au kuonekana kuwa na hali isiyo ya kawaida,Usiku wa kuamkia April 07 Club Bilicanas kulikua na uzinduzi wa video ya Queen...
View ArticlePichaz za show ya Shilole New Maisha Club Morogoro.
New Maisha Club Morogoro April 06 kulikua na uzinduzi wa video ya Chuna Buzi ya Shilole ambayo ilikua fursa ya wananchi wa Morogoro kukusanyika pamoja na kuitazama hiyo video,show ilisindikizwa na...
View ArticleKutana na post mbili za mfanyabiashara Russell Simmons zinazomhusu...
Russell Simmons ni mfanyabiashara tajiri raia wa marekani pia ni mtu mwenye heshima kubwa kwenye muziki wa hiphop akiwa na urafiki mkubwa na msanii kama Jay Z. Russell Simmons amekuwa akimpa support...
View ArticleBirdman amzawadiwa Justin Bieber gari aina ya Buggati.
Birdman bosi wa YMCMB amempa smile msanii mdogo mwenye umri wa miaka 20 kwa kumpa zawadi ya gari lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 1.9 aina ya Bugatti Veyron 16.4. Justin Bieber hakusita...
View ArticleKama unapenda kazi za Mr Flavour basi hapa kuna video yake mpya – Black Is...
Mr Flavour aliwahi kufika Tanzania kwa ajili ya show na video yake iliyopita alifanya na mshindi wa big brother Dillish Mathew. Hivi sasa ametoa video mpya ya wimbo wake wa Black is Beautiful, kama...
View ArticleUmesikia kuhusu Dudubaya kumkata sikio mama yake?stori ipo hapa.
Kutoka 88.1 Mwanza kuna taarifa zimesambaa kuhusu Dudubaya kumkata sikio mama yake,Soud Brown ana-amplify zaidi kupitia Youheard ya leo April 08. 88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza. Bonyeza play...
View ArticleUnajua PSG wamepewa ahadi ya kiasi gani ikiwa wataitoa Chelsea leo usiku
Yakiwa yamebaki masaa kadhaa kabla ya mchezo wa pili wa hatua ya robo fainali ya Champions league kati ya Chelsea dhidi ya PSG, Raisi wa klabu ya PSG Nasser Al-Khelaifi ametoa ofa nzito kwa wachezaji...
View ArticleWachezaji hawa wawili hawatoichezea Manchester United dhidi ya Bayern kesho
Klabu ya Manchester United leo mchana imesafiri kuelekea jijini Munich kwa ajili ya kupambana na Bayern Munich katika mchezo wa pili wa hatua ya 16 bora. Katika listi ya wachezaji waliosafiri na timu...
View ArticleKingine alichokifanya mwanasoka wa dunia… Pele
Mwanasoka anayetajwa kuwa bora kuliko wote waliowahi kutokea duniani mbrazil Pele ametumia fursa ya kombe la dunia kutambulisha biashara ya kumuingizia mkwanja. Kwa kutumia nywele zake mbrazil huyo...
View ArticleGoli la Ronaldo lilivyomuamsha huyu mtoto alielala kwa miezi mitatu
Ni mara nyingi tumesikia stori zinazomuhusu staa wa soka duniani Cristiano Ronaldo, zile zinazosisimua na zile zinazoleta furaha kwa kila shabiki wake…. ila hii inasisimua na kuleta furaha pia kuona...
View ArticleMsikilize Mbwiga wa April 08
Hizi ni taarifa za kimichezo ambazo zinakukumbusha baadhi ya matokeo na mechi zilizopita kupitia mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke. Sikiliza Clouds Fm 87.9 ukiwa Arusha. Bonyeza play kusikiliza. Use...
View ArticleKuhusu wale Wanajeshi wa Kenya kwenye kampuni za ulinzi Marekani.
Kesi dhidi ya Wanajeshi 27 wa zamani wa Kenya ambao walitoroka jeshini ili kujiunga na kampuni za ulinzi nchini Marekani imeanza katika kambi ya kijeshi ya Mtongwe Mombasa. Unaambiwa Wanajeshi hawa...
View ArticleCheki Epidode 1 ya Reality Show ya Victoria Kiman – The Rise of Queen Victoria.
Demo ya reality show hii ilianza wiki iliyopita ambapo inahusu maisha ya Victoria Kimani namna anavyofanya kazi zake,awapo nyumbani na hata muda anaokuwa studio kwa ajili ya kurekodi,Victoria amehaidi...
View ArticleMatokeo ya mechi za Chelsea na Real Madrid April 8 2014
millardayo.com itakua inahakikisha kila matokeo ya mechi za ndani ya bongo au nje ya bongo yanakufikia kwa wakati mtu wangu na pia karibu ujiunge na mimi kwenye twitter facebook na instagram kwa jina...
View ArticleAlichosema Samwel Sitta kuhusu maongezi yake na Rais JK pia viongozi wa dini
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema Rais Jakaya Kikwete anaonekana kuwa tayari kuongeza muda wa bunge hilo kuendelea kujadili vifungu vya rasimu ya pili ya katiba mpya baada ya...
View ArticleIdadi ya tuhuma za rushwa mwaka 2013 kwa Dodoma pekee.
Hizi takwimu baada ya kupatikana zimetangazwa na Waziri wa nchi ofisi ya Rais utawala bora George Mkuchika ambae anasema ‘takwimu za rushwa Dodoma January mpakaDecember 2013 zinaonyesha kwamba jumla ya...
View Article