Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Kutana na post mbili za mfanyabiashara Russell Simmons zinazomhusu @FlavianaMatata

$
0
0

Russell Simmons ni mfanyabiashara tajiri raia wa marekani pia ni mtu mwenye heshima kubwa kwenye muziki wa hiphop akiwa na urafiki mkubwa na msanii kama Jay Z. Russell Simmons amekuwa akimpa support Flaviana Matata kwenye kazi zake mbalimbali hasa foundation ya FMF inayoendeshwa na Flaviana mwenyewe. Leo tarehe 7/4/2014 kwenye page binafsi ya Russell Simmons...

The post Kutana na post mbili za mfanyabiashara Russell Simmons zinazomhusu @FlavianaMatata appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles