Ukubwa wa jina la Diamond ndiyo hufanya mahali popote Tanzania anapotokea au kuonekana kuwa na hali isiyo ya kawaida,Usiku wa kuamkia April 07 Club Bilicanas kulikua na uzinduzi wa video ya Queen Darlin ambaye ni dada wa Diamond Platnumz. Wakati burudani zikiendelea mashabiki wakiwa hawajui kilichopo backstage ndipo Diamond alipopanda kulitokea shangwe kubwa na kuna...
The post Hivi ndivyo Diamond alivyowa-sapraiz Mashabiki wake kwenye uzinduzi wa video ya Queen Darlin. appeared first on TZA.