Mwanasoka anayetajwa kuwa bora kuliko wote waliowahi kutokea duniani mbrazil Pele ametumia fursa ya kombe la dunia kutambulisha biashara ya kumuingizia mkwanja. Kwa kutumia nywele zake mbrazil huyo ametengeneza almasi za mchanganyiko wa carbon inayopatikana kwenye nywele pamoja na almasi yenyewe. Kutokana na mchanganyiko huo zimepatikana almasi 1283 zenye thamani ya dola za kimarekani 7,500...
The post Kingine alichokifanya mwanasoka wa dunia… Pele appeared first on TZA.