Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imefanikiwa kuingia fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuifunga Marekani goli 6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliochezwa jana (Aprili 5 mwaka huu) jijini Rio de Janeiro Brazil. Mpaka timu zinaenda mapumziko Tanzania ilikuwa mbele kwa goli...
The post Hatimae timu ya watoto wa mtaani Mwanza yashinda kuingia fainali Brazil. appeared first on TZA.