Wiki chache zilizopita mwanamuziki Shakira alikaririwa akisema kwamba mchumba wake ambaye ni mwanasoka wa klabu ya FC Barcelona Gerard Pique amemkataza kuendelea kufanya video na models wa kiume. Kauli hiyo ya Shakira ambaye anatamba na ngoma yake ya ‘Cant Remember to Forget You’ ilitengeneza vichwa vya habari vingi sana. Sasa ikiwa zimepita siku kadhaa mwanamuziki...
The post Alichopost Shakira Facebook kuhusu Pique kumkataza kufanya video na wanaume appeared first on TZA.