Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461
↧

Kama hukuwa unamfahamu,huyu ndiye Mkude Simba sasa.

$
0
0

Inawezekana ushakutana na vichekesho ambavyo vimesambaa kwenye mitandao mbalimbali hasa Whatsapp ambavyo kuna jamaa anajiita Mkude Simba,ushawahi kujiuliza ni nani yule Mkude Simba,millardayo.com imefanikiwa kumpata na kufanya nae Exclusive Interview. Kitale sio jina geni kwako kwa mtu unaefatilia filamu za vichekesho huyu ndiye jamaa ambaye anaigiza jina la Mkude Simba,mpaka sasa kitale amesema ameshafanya vichekesho...

The post Kama hukuwa unamfahamu,huyu ndiye Mkude Simba sasa. appeared first on TZA.

↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles