A.Y kwa mara nyingine amewapa mashabiki wake zawadi ya video nzuri ya wimbo wa Asante aliomshirikisha Dela. Video hii imerekodiwa Kenya na unaweza kuwa kati ya watu wa kwanza kuigalia hapa. Use Facebook to Comment on this Post
The post Enjoy kuangalia video mpya kutoka kwa @AyTanzania – Asante appeared first on TZA.