Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Yaya Toure azua hofu Afcon 2015.

  Kiungo wa timu ya taifa ya Ivory Coast ambaye pia ni nahodha wa timu hiyo Yaya Toure hapo jana alizua hofu kwa mashabiki wa timu hiyo baada ya kulazimika kukosa mazoezi ya timu hiyo baada ya kupata...

View Article


Hawa wangeweza kuonekana kwenye Afcon .

  Wakati mshambuliaji wa Olympique Marseile Mario Lemina alipoitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Gabon alikataa katakata na sababu yake ilikuwa moja , hajihesabu kama raia wa Gabon baada ya...

View Article


Ronaldo aendelea kutisha Madrid.

  Mabingwa wa ulaya , Real Madrid wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuwafunga wapinzani wao toka jijini Madrid Getafe katika mchezo wao wa 18 wa ligi kuu ya Hispania . Madrid walihsinda mchezo huo...

View Article

Eto’o Kurudi Italia.

  Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto’o Fils anakaribia kuihama klabu ya Everton ambapo inaarifiwa kuwa atajiunga na Sampdoria ya nchini Italia ndani ya saa chache zijazo ....

View Article

Arsenal yaifanyia Man City kitu mbaya.

  Katika matokeo yua kushangaza yaliyotokea mwishoni mwa wiki hii klabu ya Arsenal imewafunga mabingwa watetezi wa ligi ya England Manchester City kwenye uwanja wao wa nyumbani kwa matokeo ya 2-0. Huku...

View Article


Ninayofuraha ya kukuletea hii video mpya ya Avril ft Ommy Dimpoz- Hello Baby

Hii ni video mpya ya msanii kutokea Kenya, Avril iitwayo Hello Baby aliyomshirikisha Ommy Dimpoz. Ukishaitazama pia usisahau kuachia comment yako ili wakipita wakutane na maoni ya fans wao. Ni halali...

View Article

Akanunua ‘bulletproof’ yake, akamvalisha rafiki yake kuijaribu kama inafanya...

Kila mtu anapenda kujiweka mazingira ya usalama, hakuna asiyependa ulinzi hata kidogo! Huyu bwana aliamua kujiwekea ulinzi wa ziada, akaenda duka la kijeshi Marekani ili akanunue bulletproof ili...

View Article

Mkusanyiko wa Stori zilizopewa Headlines kwenye Magazeti ya leo Tanzania...

MWANANCHI Mali za Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba zimetangazwa kupigwa mnada kutokana na kushindwa kulipa deni analodaiwa na Benki ya CRDB. Mali hizo zinahusisha eneo lenye ukubwa wa...

View Article


Ni time ya kuiona hii kava inayoikaribisha single mpya ya Mike T na Juma Nature

Tunafahamu kuwa Mike T na Juma Nature ni wasanii wa kitambo sana sasa good time ninayotaka kukusogezea ni kwamba muda si mrefu wataachia single mpya iitwayo Uliniona Sina Maana iliyotayarishwa na...

View Article


Zambia kwenye uchaguzi mkuu leo, pichaz na story yote hapa

Leo wananchi wa Zambia wanapiga kura kuchagua Rais wa nchi hiyo, baada ya kufariki kwa liyekuwa Rais wa nchi hiyo,  Michael Sata ambaye alifariki mwezi October, 2014 akiwa kwenye matibabu  London,...

View Article

Haya ndio ya H Baba kwa mashabiki wa mastaa wa muziki Tz, Ali Kiba na Diamond...

Muimbaji Hamis Baba aka H Baba ambaye muda si mrefu na mkewe wanatarajia kupata mtoto wa pili kwenye familia yao, leo ameamua kuandika kwenye ukurasa wake Instagram kuhusu nini ambacho anakiona kwenye...

View Article

Kauli ya kwanza ya Luis Figo kuhusu Ronaldo na Messi hii hapa

Makocha, wachezaji, watangazaji na wadau wengine wa soka ulimwenguni wamekuwa wakitoa kauli tofauti kuwajadili wachezaji bora kabisa katika miaka 10 iliyopita Cristiano Ronaldo na Lionel Messi. Leo kwa...

View Article

Umeisikiliza single mpya ya staa wa kike wa filamu aliyomshirikisha A.T ? iko...

Msanii wa kike wa filamu, Flora Mvungi time hii ameingia  pia kwenye tasnia ya Bongo Fleva ambapo leo ameachia single yake mpya iitwayo Mkazurure aliyomshirikisha A.T na kutayarishwa na producer Fraga...

View Article


Nimerekodi Hekaheka ya leo Jan 20, inahusu msichana wa kazi aliyelalamika...

Kama ulipitwa na  Hekaheka ya leo January 20 inatokea Dar, msichana mmoja aliyekuwa akifanya kazi za ndani alifika ofisi za Clouds FM akilalamikia kuteswa na bosi wake na kumtishia kumchoma kisu,...

View Article

Tumesikia upande wa Irina – sasa Ronaldo azungumzia kuachana na demu wake

Kwa muda wa takribani wiki mbili kumekuwepo na habari juu ya kuvunjika kwa mahusiano ya mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo na mrembo/mwanamitindo Irina Shayk. Mapema wiki iliyopita msemaji rasmi...

View Article


Enjoy na story za kwenye 255 ya leo Jan 20, ziko story za Jay Moe, January...

Kwenye 255 ya leo January 20 wa kwanza kusikika ni Naibu Waziri Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais  atapambana na matukio ya rushwa kwa kuanza...

View Article

Kim Kardashian: ndoto za ustaa wake zilianzia huku (Pichaz & video)

Umaarufu wa mwanamitindo wa kimataifa Kim Kardashian haukuja gafla kwani tangu akiwa na umri wa miaka 13 alikua na ndoto za kuja kuwa mtu maarufu kupitia kazi zake. Katika reality shoo ya Keeping Up...

View Article


Time hii ni supermodel wa Tanzania kwenye VIDEO mpya ya staa wa muziki Nigeria…

2014 ni mwaka wenye historia kubwa kwenye burudani, muziki ni moja ya vitu vilivyoiweka Tz kwenye headlines za Kimataifa, mastaa wengi wamewakilisha vizuri nje, sitashangaa 2015 Tz ikapaa juu zaidi...

View Article

Kimya kingi na mshindo huu mtu wangu, mpya ya Dullayo feat. Prof Jay- Mokomoko

Muimbaji wa hit single ‘Mida ya Kazi’, Dullayo time hii amekuja na single mpya iitwayo ‘Moko Moko’, humo ndani kuna sauti ya mkali aliyepewa shavu la collabo,  Joseph Haule aka Professor Jay. Kazi ni...

View Article

Sasa kuna hii gari ya plastic, gharama yake ni kama mil 48 tu za Kibongo…

Marekani kupitia kampuni ya Local Motors ikishirikiana na maabara ya Oak Ridge imezindua teknolojia mpya ya magari yanayotengenezwa kwa kutumia malighafi ya plastic. Vipuri vya gari hilo vinatengenezwa...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live