Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Sasa kuna hii gari ya plastic, gharama yake ni kama mil 48 tu za Kibongo…

$
0
0

Marekani kupitia kampuni ya Local Motors ikishirikiana na maabara ya Oak Ridge imezindua teknolojia mpya ya magari yanayotengenezwa kwa kutumia malighafi ya plastic. Vipuri vya gari hilo vinatengenezwa kwa kutumia teknolojia ya 3D ambayo imetumia kuchapisha vipuri vya gari hilo ambalo kwa muonekano ni kubwa lakini uzito wake ni mdogo sana ukilinganisha na magari mengine....

The post Sasa kuna hii gari ya plastic, gharama yake ni kama mil 48 tu za Kibongo… appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles