Muimbaji wa hit single ‘Mida ya Kazi’, Dullayo time hii amekuja na single mpya iitwayo ‘Moko Moko’, humo ndani kuna sauti ya mkali aliyepewa shavu la collabo,  Joseph Haule aka Professor Jay. Kazi ni ya Producer Villa kutoka studio ya Mwanalizombe mtu wangu. Unasemaje na ujio huu wa Dullayo? Nitafurahi kuona comment yako baada ya kuisikiliza #Mokomoko hapa....
The post Kimya kingi na mshindo huu mtu wangu, mpya ya Dullayo feat. Prof Jay- Mokomoko appeared first on TZA_MillardAyo.