Mabingwa wa ulaya , Real Madrid wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuwafunga wapinzani wao toka jijini Madrid Getafe katika mchezo wao wa 18 wa ligi kuu ya Hispania . Madrid walihsinda mchezo huo kwa matokeo ya 3-0 wakifunga mabao yao kupitia kwa Cristiano Ronaldo na Gareth Bale ambapo Ronaldo alifunga mabao mawili ....
The post Ronaldo aendelea kutisha Madrid. appeared first on TZA_MillardAyo.