Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto’o Fils anakaribia kuihama klabu ya Everton ambapo inaarifiwa kuwa atajiunga na Sampdoria ya nchini Italia ndani ya saa chache zijazo . Eto’o alisaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Everton lakini amekuwa akisugua benchi baada ya kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza hali ambayo...
The post Eto’o Kurudi Italia. appeared first on TZA_MillardAyo.