Katika matokeo yua kushangaza yaliyotokea mwishoni mwa wiki hii klabu ya Arsenal imewafunga mabingwa watetezi wa ligi ya England Manchester City kwenye uwanja wao wa nyumbani kwa matokeo ya 2-0. Huku wengi wakitegemea kuishuhudia Arsenal ikifungwa , matokeo yalikwenda kinyume baada ya Santi Cazorla kuifungia timu yake bao la kuongoza kwa mkwaju wa penati...
The post Arsenal yaifanyia Man City kitu mbaya. appeared first on TZA_MillardAyo.