Umaarufu wa mwanamitindo wa kimataifa Kim Kardashian haukuja gafla kwani tangu akiwa na umri wa miaka 13 alikua na ndoto za kuja kuwa mtu maarufu kupitia kazi zake. Katika reality shoo ya Keeping Up With The Kardashians Kim alithibitisha kuwa ipo siku atakua mtu maarufu sana. Katika video aliyokua akijielezea ya mwaka 1994, akiwa na miaka...
The post Kim Kardashian: ndoto za ustaa wake zilianzia huku (Pichaz & video) appeared first on TZA_MillardAyo.