Kama ulipitwa na Hekaheka ya leo January 20 inatokea Dar, msichana mmoja aliyekuwa akifanya kazi za ndani alifika ofisi za Clouds FM akilalamikia kuteswa na bosi wake na kumtishia kumchoma kisu, alipoomba nauli ili arudi kwao bosi wake alikataa. Msichana huyo alitoroka na kuanza kuomba msaada ili aweze kupata shilingi elfu 60 kama nauli ya...
The post Nimerekodi Hekaheka ya leo Jan 20, inahusu msichana wa kazi aliyelalamika kunyanyaswa appeared first on TZA_MillardAyo.