Mabibi na Mabwana hii ndio single mpya ya Barnaba ft Mr Blue- Marry you
Muimbaji na mtunzi mahiri wa nyimbo, Barnaba anayo furaha ya kukuletea hii single mpya, inaitwa Marry You amemshirikisha Mr Blue. Bonyeza hapa kuingia kuisikiliza na kudownload moja kwa...
View ArticleKwenye TV na PICHAZ tunawaona wanavyong’aa, time yako kuwacheki mastaa hawa...
Kuna msemo usemao umaridadi huficha umaskini, kila mtu hupenda kujiweka aonekane poa mbele za watu. Mastaa wa kike na makeup zao kwenye red carpet, kwenye TV ni hatari hatari, ushawahi kuwaona wakiwa...
View ArticleBaada ya Touch Me, A Y kuachia single mpya hivi karibuni tarehe iko hapa
Msanii wa muziki na mfanyabiashara Ambwene Yessaya aka AY baada ya kufanya vizuri kwenye single ‘Touch Me’ aliyowashirikisha Sean Kingston & M.s Triniti, taarifa ikufikie kwamba ataachia single...
View ArticleHapa kuna Hekaheka iliyosikika kwenye Leo Tena @CloudsFM leo Jan 21, unaweza...
millardayo.com hukuwekea Hekaheka za siku ili kama ulipitwa wakati ikiwa inaruka hewani kwenye Leo Tena ya Clouds FM, ukiingia hapa basi unapata nafasi ya kuisikiliza yote. Ya leo January 21 inatoka...
View ArticleLingine kubwa la Mbwana Samatta – ageuka lulu ulaya, listi ya vilabu...
Hatimaye nyota ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe Mbwana Samatta imeanza kung’ara katika anga ya kimataifa ya soka. Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba...
View ArticlePicha 4 za Mbwana Samatta kwenye mazoezi Hispania na club ya Russia.
Mwandishi wa habari za michezo Tanzania Shaffih Dauda ameripoti kwamba staa wa soka kutoka Tanzania Mbwana Samatta yuko nchini Hispania sasa hivi kwa ajili ya kufanya majaribio ya soka la kulipwa na...
View ArticleKwenye 255 ya leo Jan 21 waliosikika ni Producer Sheddy Clever, Kid Bway na...
Kwenye 255 ya leo Jan 21 story ya kwanza kusikika ni ile inayomhusu Producer Sheddy Clever, jamaa amesema baada ya kutengeneza ngoma tatu za Diamond ikiwemo My Number One na Nitampata Wapi zilizofanya...
View ArticleKwenye U Heard ya leo Jan 21 amesikika star wa Bongo Fleva, Belle 9....
Kwenye U Heard ya leo Jan 21 ni ile inayohusu msanii wa Bongo Fleva, inahusu story ya Belle 9 kudaiwa kukodi vifaa kwa ajili ya kufanyia video ya wimbo wake wa ‘Vitamin Music’ lakini wakati wanarudisha...
View ArticleWale wa JB hii ndio movie yake mpya itakayoanza kuingia sokoni wiki Ijayo
Muigizaji, mtayarishaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stevephen aka JB anatarajia kuachia filamu mpya wiki ijayo iitwayo Mzee wa Swagga. Filamu hiyo iliyotayarishwa chini ya kampuni ya Jerusalem Film...
View ArticleHii ndio single mpya ya Wakazi ft Gosby, Mic Lon- Usinishike Mkono
Rapper Wakazi time hii amekuletea single mpya inayoitwa ‘Usinishike Mkono’ (Foreign Freestyle), ambayo amewashirikisha Gosby & Mic Lon. Kwenye single hiyo Wakazi ametumia mdundo (beat) ya wimbo wa...
View ArticleTayari hukumu ya kesi ya Rihanna na waliotumia picha yake kwenye nguo imetolewa…
Kuna vitu ambavyo Bongo mara nyingi watu huwa hawafuatilii lakini kumbe upande mwingine ni big deal. Kuna siku nimekutana na tshirt zenye picha za mastaa wa Bongo zikiwa zinauzwa kwenye duka moja town,...
View ArticleNimekusogezea na leo Jan 22 U Heard ya kwenye XXL, inawahusu mastar wawili...
millardayo.com imekuwekea U Heard ya leo Jan 22, wanaohusika kwenye story ni wasanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na Jux ambao Soudy Brown aliwatafuta kutokana na story kwamba wawili hao...
View ArticleBaada ya kufanya vizuri kwenye muziki Victoria Kimani kaamua kugeukia upande...
Star wa muziki Kenya Victoria Kimani ambaye anafanya poa na hits kadhaa ikiwemo ile Prokoto ambayo kawashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz ameshare na sisi kuhusu kuingia kwake kwenye hii fani...
View ArticleHaya ni ya LULU @Instagram, anauzungumzia ukimya wa msanii wa Bongo Fleva MARLAW
Moja ya mastaa ambao waliwahi kufanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Marlaw amekuwa kimya kwa muda mrefu. Leo nimejua kwamba muigizaji Lulu ni mmoja ya mashabiki wa Marlaw, ameonyesha namna...
View ArticleNimekuwekea stori za Facebook,Twitter na Instagram za January 22, 2015 ziko...
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. Nimesikitishwa na...
View ArticleMama huyu alishikwa na uchungu akiwa katikati ya safari ndani ya ndege…
Kuna story zimewahi kuandikwa hapahapa millardayo.com kuhusu ishu za wanawake kujifungua maeneo mbalimbali nje ya Hospital, ikiwemo mmoja aliyejifungua nje ya club eneo la parking, mwingine alijifungua...
View ArticleHabari 10 za AMPLIFAYA Jan 22, Staa wa Bongo Fleva kutoa tuzo zake 2015,...
Amplifaya ni dakika 120 za habari kumi za kila aina kwenye countdown ya saa moja mpaka saa tatu usiku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM 88.5 Dar es salaam ikiongozwa na mtu wako wa nguvu...
View ArticleDiamond Platnumz ameingia tena kwenye Top 10 ya Trace TV ya Ufaransa
Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha...
View ArticleZiko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo January 23, 2015
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleUlipitwa na habari Hot za Magazeti yakisomwa hewani leo Jan 23? Unaweza...
Kama hukuwa karibu na Radio yako na ukashindwa kusikiliza uchambuzi wa Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa hewani kupitia Power Breakfast ya Clouds FM leo January 23, nimekurekodia unaweza kuyasikiliza...
View Article