Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Mama huyu alishikwa na uchungu akiwa katikati ya safari ndani ya ndege…

$
0
0

Kuna story zimewahi kuandikwa hapahapa millardayo.com kuhusu ishu za wanawake kujifungua maeneo mbalimbali nje ya Hospital, ikiwemo mmoja aliyejifungua nje ya club eneo la parking, mwingine alijifungua ndani ya treni ya abiria, leo nakukutanisha na hii nyingine ambayo mwanamke amejifungua akiwa safarini ndani ya ndege saa tatu kabla ya ndege kutua. Mwanamke huyo Vera Jaber amejifungua...

The post Mama huyu alishikwa na uchungu akiwa katikati ya safari ndani ya ndege… appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles