Rapper Wakazi time hii amekuletea single mpya inayoitwa ‘Usinishike Mkono’ (Foreign Freestyle), ambayo amewashirikisha Gosby & Mic Lon. Kwenye single hiyo Wakazi ametumia mdundo (beat) ya wimbo wa msanii mkubwa wa marekani Trey Songz unaoitwa Foreign. Isikilize hapa #Usinishike Mkono kwa kubonyeza play Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram,...
The post Hii ndio single mpya ya Wakazi ft Gosby, Mic Lon- Usinishike Mkono appeared first on TZA_MillardAyo.