Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Wale wa JB hii ndio movie yake mpya itakayoanza kuingia sokoni wiki Ijayo

$
0
0

Muigizaji, mtayarishaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stevephen aka JB anatarajia kuachia filamu mpya wiki ijayo iitwayo Mzee wa Swagga. Filamu hiyo iliyotayarishwa chini ya kampuni ya Jerusalem Film imeigizwa na wasanii mahiri akiwemo JB, Cassie Kabwita, Wastara, Wellu Sengo, Thea Mike, Ndubagwe Misayo na wengineo. Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram aliwahabarisha mashabiki na kuandika; ‘MZEE...

The post Wale wa JB hii ndio movie yake mpya itakayoanza kuingia sokoni wiki Ijayo appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles