Kwenye U Heard ya leo Jan 21 ni ile inayohusu msanii wa Bongo Fleva, inahusu story ya Belle 9 kudaiwa kukodi vifaa kwa ajili ya kufanyia video ya wimbo wake wa ‘Vitamin Music’ lakini wakati wanarudisha vifaa hivyo kwa mhusika, camera moja ilizuiwa kutokana na deni alilokuwa anadaiwa na mtu aliyewaazima vifaa hivyo huku akitishia kufuta material...
The post Kwenye U Heard ya leo Jan 21 amesikika star wa Bongo Fleva, Belle 9. Isikilize hapa sauti yote appeared first on TZA_MillardAyo.