Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Nimekusogezea na leo Jan 22 U Heard ya kwenye XXL, inawahusu mastar wawili Bongo, Vanessa Mdee na Jux

$
0
0

millardayo.com imekuwekea U Heard ya leo Jan 22, wanaohusika kwenye story ni wasanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na Jux  ambao Soudy Brown aliwatafuta kutokana na story kwamba wawili hao wameonekana wakiwa karibu sana wakati walipoenda kufanya show Zanzibar. Soudy Brown alimtafuta Vanessa na kumuuliza juu ya tetesi zinazoendelea kuenea pamoja na picha walizopiga wakiwa Zanzibar, Vee hakujibu...

The post Nimekusogezea na leo Jan 22 U Heard ya kwenye XXL, inawahusu mastar wawili Bongo, Vanessa Mdee na Jux appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles