Star wa muziki Kenya Victoria Kimani ambaye anafanya poa na hits kadhaa ikiwemo ile Prokoto ambayo kawashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz ameshare na sisi kuhusu kuingia kwake kwenye hii fani nyingine mwaka huu 2015. Kafanya vizuri kwenye muziki, kwa sasa tukae tayari kwa kumtazama kwenye uigizaji wa movie, ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika juu...
The post Baada ya kufanya vizuri kwenye muziki Victoria Kimani kaamua kugeukia upande wa fani hii… appeared first on TZA_MillardAyo.