Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Furaha kwa Paul wa P Square na mpenzi wake Anita…

P Square ni moja ya  maundi ambayo yanafanya vizuri kwenye muziki Afrika, leo kuna story kutoka kwa Paul Okoye na Anita ambao ni wapenzi. Mwaka jana 2014 Paul na Anita walifunga ndoa ya kiutamaduni...

View Article


Nimekuwekea story zote kubwa kutoka Kenya, zimerekodiwa kwenye Habari ya...

 Hii ni habari kutoka Kenya, ilirekodiwa wakati ikisomwa hewani katika Radio Jambo, unaweza kusikia story zote za Kenya leo January 23 kupitia hapa. Wanasiasa wa CORD wameyakataa majina manne...

View Article


Stori 10 za AMPLIFAYA January 23, 2015 ziko hapa tayari..

  Amplifaya ni dakika 120 za habari kumi za kila aina kwenye countdown ya saa moja mpaka saa tatu usiku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM 88.5 Dar es salaam ikiongozwa na mtu wako wa nguvu...

View Article

Ziko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo January 24, 2015

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Ziko hapa zote Story kubwa tano kutoka Magazetini leo January 24 2015 Tzania

MWANANCHI Hali bado ni tete kwa mawaziri wakati Rais Jakaya Kikwete akiwasiliana na viongozi waandamizi kabla ya kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri baada ya kuwa na vikao kadhaa kabla ya...

View Article


Kuhusu ishu ya Escrow, ikufikie hii taarifa ya Waziri Muhongo alichokitangaza...

Bunge la Tanzania linaanza vikao vyake wiki ijayo, moja ya ishu ambayo wanasiasa na wanaharakati mbalimbali wamekuwa wakishinikiza kufanyiwa maamuzi ni ishu ya Escrow, mwezi DECEMBER, 2014 Rais Kikwete...

View Article

Pale ambapo Chifu anahusishwa na wizi huu Kenya…

Chifu mmoja kutoka kaunti ya Baringo nchini Kenya amejikuta katika mazingira magumu baada ya kukutwa na chakula cha wizi kilichotolewa na Serikali ya Kenya kama msaada. “Ameshikwa kwa sababu alibomoa...

View Article

Mike Tyson kwenye collabo ya wimbo na Madonna, hakujua aliitiwa nini studio!

Dunia ina mengi ya kuyakumbuka kuhusu bondia Mike Gerard Tyson, kuna ile rekodi ya kushinda mapambano mengi, makubwa lakini umri wake ulikuwa mdogo tu! Aliweza kutengeneza umaarufu mkubwa, pesa nyingi...

View Article


Labda password yako ni moja kati ya hizi zilizovunja rekodi mwaka 2015…...

Hivi karibuni tumesikia watu wengi wakiwemo wasanii wakilamika juu ya account zao pamoja na simu kuvamiwa na wezi wa mitandaoni, watafiti wanasema matumizi ya password dhaifu pia huchangia account hizo...

View Article


Adam Mchomvu katuletea hii mtu wangu kwa January 25.

Kama uko Dar es salaam 88.5 ichukue hii mtu wangu wa nguvu na hakikisha tunakutana Club Billz Jumapili hii January 25 kumsuport mtu wetu Adam Mchomvu ambaye anazindua video yake mpya. Nimeambiwa list...

View Article

Mabibi na Mabwana,Yamoto Band wanakualika kutazama video yao mpya...

Style ya muziki wanaoufanya imewafanya kupanda mashabiki wa umri tofauti,Yamoto Band wametuletea video yao mpya hii inaitwa Nitakupwelepweta,imeongozwa na Adam Juma. Bonyeza play kutazama The post...

View Article

Hii ndiyo filamu iliyopa ugumu kuigiza Shamsa Ford.

Hii mara nyingi humtokea mtu yoyote ambaye anafanya kazi fulani hata kama kaizoea kiasi gani lakini kuna kipindi inafika anakutana na ugumu wa kazi hiyo anayoifanya. Shamsa Ford kutoka kiwanda cha...

View Article

Huenda hujui maana ya neno Wakata Mkaa wanalolitumia Chegge,Temba na Madee.

Maswali yamekua mengi sana vichwani kwa watu wengi wakijiuliza kuwa hii Mkata mkaa ni kundi jipya?na kama ni kundi linaundwa na watu wangapi?na vipi kuhusu Tip Top na Tmk Wanaume Family. Temba kutoka...

View Article


U heard ya leo Jan 27, msanii Shilole amezungumzia ishu ya kumpiga Nuh Mziwanda.

Kama hukusikiliza U heard ya leo January 27, inahusu ishu inayosemekana kuwa msanii Shilole alimpiga mpenzi wake mwanamziki Nuh Mziwanda katika tamasha lililofanyika hivi karibuni na kupelekea watu...

View Article

Video ya Single mpya ya Wizkid ‘Sound it’ imetoka! dakika zako 4 kuiangalia...

Miongoni mwa mastaa wanaokubalika na kuleta ushindani mkubwa katika soko la muziki Nigeria na Afrika kwa ujumla ni pamoja na Wizkid na time hii amekuja na single nyingine ambayo tayari video yake...

View Article


Unaweza kutumia gharama hizi kwa ajili ya kununua jina la kipekee la mtoto wako?

Ulishawahi kujiuliza jina lako lina maana gani au limetokana na nini? wengi tumekuwa na majina ambayo hatujui maana yake na mengi yakiwa ni common, lakini kuna mengine ambayo ni ya kipekee kwa mfano...

View Article

Mwanamke afikisha miaka 40 bila ndoa..hiki ndicho alichoamua!

Matukio ya wanawake kukata tamaa ya kuolewa kwa miaka ya sasa yameanza kuonekana ni ‘fashion’ huku wengi wakiona ni jambo la kawaida kuishi maisha ya peke yao. Yasmin Eleby mwenyeji wa Houston,...

View Article


Nimekuwekea habari kubwa za leo kutoka radio Jambo Kenya

Chama cha TAC kimekubali ombi la walimu la kupunguza muda ambapo walimu wapya wanapaswa kuhudumu Kaskazini Mashariki mwa Kenya ama sehemu nyingine yoyote yenye changamoto ambapo sheria za TAC...

View Article

Mabomu ya machozi yatumika kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF #ITV...

Kituo cha ITV kimeripoti kuwa Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF, waliokuwa wanaenda kushiriki katika mkutano wa kuwa kumbuka wanachama wenzao...

View Article

Stori za Facebook, Twitter, Instagram, Blogs leo January 27, 2015 ziko hapa

Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. “@LazaroNyalandu:...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live