Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Video ya Single mpya ya Wizkid ‘Sound it’ imetoka! dakika zako 4 kuiangalia mtu wangu

$
0
0

Miongoni mwa mastaa wanaokubalika na kuleta ushindani mkubwa katika soko la muziki Nigeria na Afrika kwa ujumla ni pamoja na Wizkid na time hii amekuja na single nyingine ambayo tayari video yake imetoka. Nakukaribisha kuangalia video hii mpya inaitwa “Sound it“. Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram...

The post Video ya Single mpya ya Wizkid ‘Sound it’ imetoka! dakika zako 4 kuiangalia mtu wangu appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles