Ulikua mbali na Radio? stori zote 10 za AMPLIFAYA January 27, 2015 ziko hapa
Amplifaya ni dakika 120 za habari kumi za kila aina kwenye countdown ya saa moja mpaka saa tatu usiku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM 88.5 Dar es salaam ikiongozwa na mtu wako wa nguvu...
View ArticleTukae tayari kwa hii mpya ya YEMI ALADE, kashare na sisi kilichoendelea...
Ukiangalia video yake ya ‘Johnny’ na ‘Tangarine’, au namna alivyofanya vizuri kwenye video ya ‘Baby Hello’ ya staa mwenzake wa Nigeria, Wande Coal; unaona ni jinsi gani staa huyu wa muziki Yemi Alade...
View ArticleYa Kanye West kusimamia mkewe akijaribu nguo nayo imepewa headlines mitandaoni…
Baada ya ile story ya Kim Kadarshian ku-breaktheInternet mengi yalikuwa yakijadiliwa mitandaoni, wapo waliokuwa wakihoji eti rapper Kanye West anachukuliaje tukio lile la Kim kwa nafasi yake kama mume?...
View ArticleZawadi hii ilimtoa machozi mtoto huyu… Ni kama hakutegemea kuipata, cheki...
Surprise ya zawadi ni kitu kizuri sana, ila kuna ambao hawapendi kushtushwa na kitu chochote, haijalishi ni kizuri au kibaya! Mtoto alikuwa anaingia zake toka shule kakutana na zawadi aliyoletewa na...
View ArticleHizi ndio video 10 za RNB zinazotamba kwenye Top 10 ya Trace TV ziko hapa
Trace TV ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha sasa, ambapo leo Jan 27...
View ArticleMatokeo ya Mechi za Simba Vs Mbeya City, TP Mazembe Vs Azam FC yote hapa
Mechi kati ya timu ya Simba SC na Mbeya City imemaliza muda mfupi uliopita, Simba wamejikutawakikubali kichapo cha goli 2-1 katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar...
View ArticleSikilza habari kubwa za leo Jan 28 kutoka Redio Jambo Kenya wakati zikisomwa...
Sikiliza habari kutoka Kenya, ilirekodiwa wakati ikisomwa hewani Radio Jambo, hii ni nafasi yako kufahamu story zote za Kenya leo January 28 kupitia hapa. Taharuki imetanda katika Kijiji cha Kainu...
View ArticleUtata wa video ya Mchungaji iliyozagaa mitandaoni ikionyesha akiwa bila nguo...
Mchungaji maarufu Afrika Kusini Sthembiso Zondo ambae huwa anatoa mahubiri yake kwa njia ya Redio nchini humo, ratiba ya kurushwa kwa mahubiri yake imesimamishwa kurushwa hewani baada ya kuvuja video...
View ArticleStori za Facebook, Twitter, Instagram, Blogs leo January 28, 2015 ziko hapa
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. Tarehe 30 January PAC...
View ArticleBalotelli abebeshwa lawama za kufungwa kwa Liverpool.
Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli amebebshwa lawama za kipigo ambacho Liverpool ilikipata usiku wa jana katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Capitol 1 baada ya kushindwa kumkaba mfungaji...
View ArticleManchester United yawatishia mashabiki wake .
Klabu ya Manchester United imewaonya mashabiki wake kuwa wanalazimika kununua tiketi kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kombe la FA dhidi ya Cambridge United na wakishindwa kufanya hivyo watapata...
View ArticleStori 10 za AMPLIFAYA January 28,2015 kwako uliezikosa mtu wangu nimekuwekea...
Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia Clouds FM kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu, ni show ambayo ina namba 10 muhimu zinazomilikiwa na habari, yani habari kumi kubwa...
View ArticleReal Madrid ‘yauza’ uwanja wake .
Mabingwa wa ulaya Real Madrid wamekubali kuuza haki za kuupa jina uwanja wao wa nyumbani kwa familia ya falme za kiarabu ya Emirates ambapo sasa uwanja huo utabadilishwa jina na kuitwa Abu Dhabi...
View ArticleManny Pacquaio na Floyd Mayweather uso kwa uso Marekani.
Mabondia wawili nyota Floyd Mayweather na Manny Pacquiao hapo jana walikutana uso kwa uso ikiwa ni mara ya kwanza kukutana katika kipindi hiki ambacho pambano lao limekuwa likitajwa sana . Mabondia...
View ArticleHuyu ndie nyota wa Real Madrid aliyetangaza kugombea urais FIFA.
Nyota wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Luis Figo ametangaza nia ya kuwania kiti cha urais wa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA katika uchaguzi wa shirikisho hilo utakaofanyika mwezi...
View ArticleHii ni taarifa kuhusu Van Persie kwa klabu ya Man United
Nyota wa Manchester United Robin Van Persie amekiri kuwa huenda akaihama klabu hiyo pale ambapo mkataba wake utakapomalizika ndani ya kipindi cha miezi 18 ijayo . Robin Van Persie ametoa kauli hii...
View ArticleIvory Coast wafuzu robo fainali AFCON 2015.
Timu ya taifa ya Ivory Coast imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika Afcon baada ya kushinda mchezo wao wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Cameroon kwa...
View ArticleSerikali imetoa tamko hili kuhusu kuitafuta ndege ya Malaysia MH370
Serikali ya Malaysia imetangaza kusitisha shughuli ya kuitafuta ndege iliyopotea ya MH370 na kusema wanachukulia kama ajali ambayo iliangamiza watu wote. Tangu kuanza kutafutwa kwa ndege hiyo...
View ArticleKama umepitwa na U Heard ya leo Jan 29 nimekuwekea hapa, inamhusu msanii Mh....
Kama ulipitwa na U heard ya leo Jan 29, inahusu taarifa iliyotolewa na mzee mmoja Mzee Saidi ambaye anaishi Temeke, amesema hivi karibuni msanii wa Kundi la Wanaume Family, Mh Temba alienda katika Bar...
View ArticleMaamuzi magumu ya Rapper Lil Wayne juu ya kundi la YMCMB
Ishu ya mgogoro wa rapper Lil Wayne na YMCMB sasa umefikia mbali na time hii jamaa amefungua mashtaka alipwe dola za Marekani milioni 51 na msanii mwenzake Birdman. Lil Wayne amemtaka jaji kuvunja...
View Article