Mabondia wawili nyota Floyd Mayweather na Manny Pacquiao hapo jana walikutana uso kwa uso ikiwa ni mara ya kwanza kukutana katika kipindi hiki ambacho pambano lao limekuwa likitajwa sana . Mabondia hao walikutana kwenye uwanja wa American Airlines Arena ambako walikuwa wakitazama mchezo wa ligi ya mpira wa kikapu ya NBA kati ya Miami...
The post Manny Pacquaio na Floyd Mayweather uso kwa uso Marekani. appeared first on TZA_MillardAyo.