Video inayoonyesha jinsi Idris Sultan na Ommy Dimpoz walivyofanya suprise...
Ni mastaa wa Tanzania ambapo Ommy Dimpoz ni mwimbaji na milionea Idris ni mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, wote hawa walisoma kwenye shule moja ya Mbezi High Dar es salaam kwa nyakati...
View ArticleTaarifa iliyotolewa na Serikali kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Prof. Lipumba na...
Katika kikao cha Bunge siku ya jana January 28 Mbunge James Mbatia aliomba mwongozo ndani ya kikao cha Bunge kuhusu ishu iliyojitokeza juzi Dar ambapo Prof. Lipumba na baadhi ya wafuasi walikamatwa na...
View ArticleYoung Killer kashea na sisi hii mipango yake mwaka huu 2015…
Tumeona baadhi ya wasanii ambao bado wapo kwenye masomo lakini wakifanya kazi zao za muziki akiwemo, Stereo, M Rap Lion, Ben Pol, Nikki wa Pili na wengineo, sasa goodnews ninayokusogezea ni hii kutoka...
View ArticleNimekusogezea Habari za leo Jan 29, kutoka Redio Jambo Kenya wakati zikisomwa...
Unaweza kusikiliza habari kutoka Kenya, ilirekodiwa wakati ikisomwa Radio Jambo, pata nafasi ya kufahamu story zote za Kenya leo January 29 kupitia hapa. Wafanyabiashara na wafanyakazi wa batatuu...
View ArticleWaziri Mwakyembe tayari ndani ya Bunge la Afrika Mashariki leo January 29
Siku chache zimepita tangu yatangazwe mabadiliko madogo ndani ya Baraza la Mawaziri Tanzania. Aliyekuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amehamishwa na kwa sasa ni Waziri wa...
View ArticleStori za Facebook, Twitter, Instagram, Blogs January 29, 2015 ziko hapa
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. Nashukuru sana sana...
View ArticleBurudani nyingine iliyoongezwa kwenye usiku wa miaka 10 ya THT.
Maandalizi ya mwisho yameshakamilika ya tamasha la miaka 10 ya THT ambalo linafanyika Jumamosi ya January 31 Escape One Mikocheni,kuna wakali wengine wa Bongo Fleva wameongezwa kwa ajili yako mtu wangu...
View ArticleAjali ya moto uliounguza gari Ilala leo jioni, January 29
Jana jijini Dar kulikuwa na matukio ya nyumba moja maeneo ya Mwananyamala na Night Club moja eneo la Sinza Mori kuwaka moto. Saa chache zilizopita katika Barabara ya Kawawa, Ilala Dar imetokea ajali...
View ArticleUlikua mbali na Radio? stori zote 10 za AMPLIFAYA January 29, 2015 ziko hapa
Amplifaya ni show inayosikika on Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku kikiwa na mkusanyiko wa habari kumi kubwa za siku zikiwemo siasa, muziki michezo na mengine. #AMPLIFAYA...
View ArticleCollabo nyingine, Linex ft. Diamond Platnumz iko njiani. Linex ana haya...
Msanii wa muziki Linex Sunday Mjenda amefunguka na kusema kesho Jan 31 anatarajia kuingia location kufanya maandalizi ya video mpya ya single yake iitwayo Salima aliyomshirikisha Diamond Platnumz....
View ArticleKunani Uarabuni? Real Madrid, AC Milan na Manchester City wanafahamu zaidi…
Kabla ya mapumziko ya msimu wa baridi, Real Madrid walikuwa wamecheza mechi 22 wakiwa wameshinda zote mfululizo, huku wakiwa wametwaa ubingwa wa dunia pamoja na kuchukua ushindi wa kundi kwenye...
View ArticleMtazame Mke wa Star wa Real Madrid akiwa uwanjani…
Siku zote waarabu wa Pemba hufahamiana kwa vilemba na ndege wa mabawa ya kufana hupaa pamoja , msemo huu unaonekana kuwa kweli kwa familia ya nyota wa Real Madrid na timu ya taifa ya Colombia, James...
View ArticleMan United kumsajili beki huyu?
Manchester United imethibitisha kuwa itafanya jaribio la mwisho la kumsajili beki wa kimataifa wa Ujerumani Mats Hummels zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili la...
View ArticleFigo katika harakati za kuusogelea Urais wa FIFA
Wagombea wawili wa nafasi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa FIFA, Luis Figo na Prince Ali Bin Al Hussein wametangaza kupita hatua ya kwanza ya kuelekea kwenye uchaguzi huo . Haua hiyo inahusisha...
View ArticleMcheki mtoto wa Beckham ndani ya Club ya Arsenal.
Pamoja na kua mtoto wa nyota wa zamani wa Manchester United, David Beckham kijana Brooklyn Beckham yuko njiani kuanza maisha kama mchezaji wa kikosi cha kwanza cha wapinzani wakubwa wa baba yake...
View ArticleChelsea bila Costa na Fabregas.
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa atalazimika kukaa nje ya uwanja akikosa michezo mitatu ya timu hiyo kwenye ligi ya England baada ya kukutwa na hatia ya utovu wa nidhamu kufuatia vitendo kadhaa...
View ArticleNeymar awa tatizo ligi ya Hispania.
Kiungo mshambuliaji wa Barcelona Neymar Da Silva Jr vamekuwa kwenye kiwango cha juu msimu huu ambapo amekuwa sehemu muhimu sana ya timu yake katika michezo ya hivi karibuni . Neymar amedhihirisha...
View ArticleStori za Facebook, Twitter, Instagram, Blogs January 30, 2015 ziko hapa
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. Bunge limepokea, na...
View ArticleUlikua mbali na Radio? stori zote 10 za AMPLIFAYA January 30, 2015 ziko hapa
Amplifaya ni show inayosikika on Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku kikiwa na mkusanyiko wa habari kumi kubwa za siku zikiwemo siasa, muziki michezo na mengine. #AMPLIFAYA #Jan30...
View ArticleBaba yao P Square alifariki Nov 2014, kazikwa hivi leo Jan 30 2015. #RIP
Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye wa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba. Taarifa za...
View Article