Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Chelsea bila Costa na Fabregas.

$
0
0

  Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa atalazimika kukaa nje ya uwanja akikosa michezo mitatu ya timu hiyo kwenye ligi ya England baada ya kukutwa na hatia ya utovu wa nidhamu kufuatia vitendo kadhaa vya mchezo usio wa kiungwana vilivyoonekana kwenye mchezo dhidi ya Liverpool. Mshambuliaji huyu wa kimataifa wa Hispania alikutwa na hatia ya kumkanyaga...

The post Chelsea bila Costa na Fabregas. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles