Ni mastaa wa Tanzania ambapo Ommy Dimpoz ni mwimbaji na milionea Idris ni mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, wote hawa walisoma kwenye shule moja ya Mbezi High Dar es salaam kwa nyakati tofauti. Baada ya kuupata umaarufu wakaona watumie time yao kuitembelea shule hiyo ya sekondari ambayo walisoma miaka kadhaa iliyopita ambapo...
The post Video inayoonyesha jinsi Idris Sultan na Ommy Dimpoz walivyofanya suprise kutembelea shule waliyosoma. appeared first on TZA_MillardAyo.