Siku zote waarabu wa Pemba hufahamiana kwa vilemba na ndege wa mabawa ya kufana hupaa pamoja , msemo huu unaonekana kuwa kweli kwa familia ya nyota wa Real Madrid na timu ya taifa ya Colombia, James Rodriguez ambaye hivi karibuni alionekana akiwa kwenye uwanja wa mchezo wa Volleyball akiwa anamtazama mke wake. Mke wa James...
The post Mtazame Mke wa Star wa Real Madrid akiwa uwanjani… appeared first on TZA_MillardAyo.