Siku chache zimepita tangu yatangazwe mabadiliko madogo ndani ya Baraza la Mawaziri Tanzania. Aliyekuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amehamishwa na kwa sasa ni Waziri wa Uchukuzi wakati Waziri Harrison Mwakyembe aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi kabadili kwenye nafasi ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Leo kuna taarifa kwamba Waziri huyo ameapishwa...
The post Waziri Mwakyembe tayari ndani ya Bunge la Afrika Mashariki leo January 29 appeared first on TZA_MillardAyo.