Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Burudani nyingine iliyoongezwa kwenye usiku wa miaka 10 ya THT.

$
0
0

Maandalizi ya mwisho yameshakamilika ya tamasha la miaka 10 ya THT ambalo linafanyika Jumamosi ya January 31 Escape One Mikocheni,kuna wakali wengine wa Bongo Fleva wameongezwa kwa ajili yako mtu wangu utakaekuwepo kwenye party hii. Ben Pol na Grace Matata ni miongoni mwa wasanii walioongezwa kwenye party hii,good news ni kwamba tayari tiketi zimeanza kuuzwa...

The post Burudani nyingine iliyoongezwa kwenye usiku wa miaka 10 ya THT. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles