Wagombea wawili wa nafasi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa FIFA, Luis Figo na Prince Ali Bin Al Hussein wametangaza kupita hatua ya kwanza ya kuelekea kwenye uchaguzi huo . Haua hiyo inahusisha kuteuliwa kwa kutiliwa saini na vyama vitano vya soka toka kwenye nchi wanachama wa fifa . Mchezaji wa zamani wa Ureno na...
The post Figo katika harakati za kuusogelea Urais wa FIFA appeared first on TZA_MillardAyo.