Kama ulipitwa na U heard ya leo Jan 29, inahusu taarifa iliyotolewa na mzee mmoja Mzee Saidi ambaye anaishi Temeke, amesema hivi karibuni msanii wa Kundi la Wanaume Family, Mh Temba alienda katika Bar moja iliyopo Temeke na kumvamia kijana mmoja anayeitwa Sura na kutaka kumchoma kisu kwa madai kuwa na mawasiliano ya karibu na mke wake. Mzee huyo...
The post Kama umepitwa na U Heard ya leo Jan 29 nimekuwekea hapa, inamhusu msanii Mh. Temba appeared first on TZA_MillardAyo.