Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Tukae tayari kwa hii mpya ya YEMI ALADE, kashare na sisi kilichoendelea Behind the Scene (PICHAZ)

$
0
0

Ukiangalia video yake ya ‘Johnny’ na ‘Tangarine’, au namna alivyofanya vizuri kwenye video ya ‘Baby Hello’ ya staa mwenzake wa Nigeria, Wande Coal; unaona ni jinsi gani staa huyu wa muziki Yemi Alade yuko vizuri kwenye kuifanya video kupendeza. Ana nyimbo kali kibao, collabo pia ambazo zimefanya Afrika tumtambue staa huyu kutoka Nigeria, mpya kutoka kwake ni...

The post Tukae tayari kwa hii mpya ya YEMI ALADE, kashare na sisi kilichoendelea Behind the Scene (PICHAZ) appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles