Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Manchester United yawatishia mashabiki wake .

$
0
0

  Klabu ya Manchester United imewaonya mashabiki wake kuwa wanalazimika kununua tiketi kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kombe la FA dhidi ya Cambridge United na wakishindwa kufanya hivyo watapata adhabu . Klabu hii imewaandikia mashabiki wake ambao bado hawajalipia tiketi za mchezo huo barua maalum ikiwataka waharakishe kununua tiketi na wakishindwa kufanya ghivyo...

The post Manchester United yawatishia mashabiki wake . appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles