Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. Tarehe 30 January PAC inakutana na Shirika la TPDC hapa dodoma kuhusu mahesabu ya Shirika na uwazi wa mikataba ya Gesi Asilia na Mafuta — Zitto Ruyagwa Kabwe (@zittokabwe) January 28,...
The post Stori za Facebook, Twitter, Instagram, Blogs leo January 28, 2015 ziko hapa appeared first on TZA_MillardAyo.