Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. “@LazaroNyalandu: FlavianaMatata kushiriki Tangazo la vivutio vya Tanzania litakalorushwa CNN America na BBC World” — Flaviana Matata (@FlavianaMatata) January 26, 2015 Facebook: Mwanachi: MAANDAMANO: Prof. Lipumba,wafuasi 32 wa CUF wakamatwa...
The post Stori za Facebook, Twitter, Instagram, Blogs leo January 27, 2015 ziko hapa appeared first on TZA_MillardAyo.