Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Adam Mchomvu katuletea hii mtu wangu kwa January 25.

$
0
0

Kama uko Dar es salaam 88.5 ichukue hii mtu wangu wa nguvu na hakikisha tunakutana Club Billz Jumapili hii January 25 kumsuport mtu wetu Adam Mchomvu ambaye anazindua video yake mpya. Nimeambiwa list ya wasanii ni ndefu ambao wataperfoam kuna Fid Q,Joh Makini,Mr. Blue,Nikki wa pili,Ben Pol,Young D,Shilole,Barakah Da Prince,Jay Moe,Belle Nine na wasanii wengi...

The post Adam Mchomvu katuletea hii mtu wangu kwa January 25. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461